By taseni tz.... Habari mtembeleaji wa blog ya umbea na udaku mkubwa leo nimekuandalia hapa ubuyu juu ya ni kwanini Penzi la Mrembo Zari na Chibu dee "diamond plutnumz" limefikia kikomo hivi karibuni.. Juzi tu hapo tarehe 18july tulishuhudia mdada huyo akifunga ndoa na mchumba wake Michael aka king bae.. Sasa sababu za Zari kwa upande mwingine zinaonyesha kama kumlaumu fulani hivi Bwana chibu… hebu sikia anahosema hapa "NI KWELI MWANAUME ANAWEZA KUWA MUONGO LAKINI UKAMUELEWA SOMETIMES MUKAISHI,,,LAKINI KWA NASEEB ILIKUWA TOFAUTI COZ YEYE ALIKUWA MUONGO NA MUHUNI KWA MUDA WOTE"alisema zari.. Akaendelea "AMETHUBUTU KULALA NA WANAWAKE KATIKA KITANDA CHANGU NA WATOTO WETU TENA KIBAYA NI WASICHANA WA MTAANI" duuuhh !! ni kweli mzee chibu ??? ngoja tumsikilize bi mdada… "UNAJUA HATA WATOTO HATAKI KUWAONA KABISA…SASA HUYO NI MWANAUME AU MHUNI TU NA ASIYE NA MALENGO ???" Kwa sasa zari anaishi na ki...